Gor Mahia kwa sasa hawana mfadhili, hali ambayo imewapelekea kuhangaika kifedha

– Klabu hiyo inasemekana kushindwa kuwalipa wachezaji wake na kamati ya ushauri kwa miezi kadhaa

– Polack ni miongoni mwa wale waliathiriwa huku akifichua kwamba mambo ni magumu

Huku Gor Mahia ikikumbana na changamoto za kifedha, kocha mkuu wa klabu hiyo Steven Polack pia hajasazwa.

Wachezaji wa Gor pamoja na wanakamati wa ushauri wanadaiwa kutopokea mishahara yao kwa miezi kadhaa.

Habari Nyingine: Mchina aliyepatikana na vifaa feki vya kupima coronavirus aanza kukaangwa

Source link

32

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here